Yammi Tz Ashtua Wengi kwa Kudai Bado ni Bikra, Aonya Wanaume kuwa Waongo
Mwanamuziki wa Bongo fleva Yammi Tz ameibua mzozo mtandaoni baada ya kudai kuwa yeye bado bikra. “Ni kweli bado sijawahi kushiriki mapenzi na Mabikra wenzangu tuendelee kujitunza, Wanaume ni waongo sana.”- Amefunguka Yammi Tz. Hii ni kauli ambayo imewashangaza wengi kwani inaelekea watu wengi hawaamini kuwa Yammi Tz anaweza kuwa bikra huku wengi wakidai kuwa…
