Magori ni kiongozi asiye na hekima, Mo Dewji umetuletea bomu wanasimba
Mo Dewji amemrithisha kiti cha uenyekiti cha ukurugenzi Simba ndugu Cresencius Magori Magori Toka namfahamu ni mtu hana hekima ya uongozi Bali kukurupuka 1. Magori ndo alimlaumu goalkeeper Camara ati ameuza mechi ya Yanga.Hii ilinishangaza mno kiongozi kutokuwa mwanamichezo na kutambua kuwa kwenye mpira timu inafungwa Kwa kufanya makosa.Haikuwa hekima kusema wazi ati ameuza mechi…
