Dk Nchimbi aahidi wazawa kushiriki uchimbaji madini, miradi ya maendeleo Kahama
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewaahidi mambo mbalimbali wananchi wa Kahama, Mkoa wa Shinyanga ikiwemo madini mkakati kuchimbwa na wazawa, uanzishwaji mashamba darasa na ujenzi wa soko kubwa.Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewaahidi mambo mbalimbali wananchi wa Kahama, Mkoa wa Shinyanga ikiwemo madini mkakati kuchimbwa na wazawa, uanzishwaji mashamba darasa na ujenzi wa soko kubwa.
