Yammi Tz Ashtua Wengi kwa Kudai Bado ni Bikra, Aonya Wanaume kuwa Waongo

Mwanamuziki wa Bongo fleva Yammi Tz ameibua mzozo mtandaoni baada ya kudai kuwa yeye bado bikra. “Ni kweli bado sijawahi kushiriki mapenzi na Mabikra wenzangu tuendelee kujitunza, Wanaume ni waongo sana.”- Amefunguka Yammi Tz. Hii ni kauli ambayo imewashangaza wengi kwani inaelekea watu wengi hawaamini kuwa Yammi Tz anaweza kuwa bikra huku wengi wakidai kuwa…

Read More

Ndaro: Sijawahi Kujutia Kuwa na Tunda Cappuccino

SIJAWAHI KUJUTIA KUWA NA TUNDA.” Mchekeshaji anayetoka kwenye Jukwaa la Cheka Tu, Ndaro ameweka wazi kuwa hajawahi kujutia hata siku moja kutoka kimapenzi na wanawake weupe (Tunda Cappuccino). “Napenda sana wanawake weupe, Sijawahi kujutia hata siku moja kutoka kimapenzi na Tunda. Ila kwenye mahusiano yaliyopita nilipata shida sana ya maisha kuwa Baba wa kambo.”- Amesema…

Read More

McManaman: Salah, Van Dijk, Wirtz Wakubali Lawama, Waoneshe Mabadiliko

Steve McManaman anasisitiza Mohamed Salah, Virgil van Dijk na Florian Wirtz wote lazima wakubali lawama zinazokuja kwao huku Liverpool ikizidi kupambana….✍️ 🗣️ “Wanapaswa kukubali lawama hizo, ni rahisi hivyo, na wanapaswa kujibu. Mo Salah anahitaji kukubali lawama hizo, Virgil van Dijk anahitaji kukubali, Florian Wirtz anahitaji kukubali….✍️ 🗣️ “Wirtz £100M imetumiwa kwa ajili yake, anahitaji…

Read More

“Wizkid Afichua Siri: Nyimbo Zake Kubwa Zote Amezikatika Akiwa Amekaa na Kurelax

Staa wa muziki kutoka Nigeria, Wizkid , ameweka wazi kuwa nyimbo zake zote kubwa alikuwa amerekodi akiwa Amekaa. Amesema kwamba wimbo kama Joro, Holla at Your Boy, Soco, na nyinginezo alirekodi tu akiwa amekaa, akirelax na ku-chill. “Nimerekodi nyimbo zangu zote kubwa kama Joro, Holla at Your Boy, Soco… nikiwa nimekaa tu, narelax na ku-chill,”Amesema=…

Read More

“Msanii Frida Amani Kuiwakilisha Tanzania Access Showcase Festival, Afrika Kusini”

Kamati ya maandalizi ya Tamasha la Access Showcase, imemtangaza rasmi Msanii wa muziki wa Hiphop Frida Amani Fridaamaniofficial ) kuiwakilisha Tanzania katika Tamasha hilo litalofanyika Jijini Tshwane Nchini Afrika Kusini tarehe 1 Novemba 2025. Tamasha hili ambalo kwa mwaka 2024 lilifanyika Nchini Rwanda, hukutanisha Wasanii, Wadau wa muziki na Wabunifu kutoka kila kona mbalimbali za…

Read More

“Friend Zone” Ya Harmonize Yamteka Hamisa Mobetto

Harmonize  baada ya ku-share video ya Hamisamobetto akiwa ana enjoy wimbo wake wa ‘Friend Zone’ aliofanya na Ibraah_tz. Harmonize aliisindikiza video hiyo na ujumbe ambao unasema “inaonekana kama wimbo wake anaoupenda kwa sasa, Tanzania one Hamisamobetto “ Hamisa nae alijibu kwa kuandika “wimbo bora kabisa” Hii inaonyesha jinsi gani wimbo huo umemkamata mrembo Hamisa kwa…

Read More

“Kolabo mpya? Juma Jux akutana na Davido Lagos>”

Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Juma Jux, amekutana na nyota wa muziki kutoka Nigeria, Davido, maarufu kama O.B.O, nchini Nigeria. Tukio hilo limefanyika jijini Lagos, ambapo Davido alisikika akimwambia Jux, “Mlinde dada yangu,” Kabla ya kukutana na Davido, Jux alishiriki kwenye kampeni ya “Nigeria’s Biggest Cancer Awareness” iliyofanyika jijini Abuja, ikiwa na lengo la kuhamasisha…

Read More