EP YA MBOSSO YAWEKA RECORD
EP hiyo imefanikiwa kufanya vizuri kwenye digitals platforms mbalimbali ambapo Youtube kila wimbo umefikisha viewers milioni 1 na zingine zaidi ndani ya miezi 3. Anasema hiyo ndio EP ya kwanza kwenye Kiwanda cha Bongo Fleva kufanikiwa kufikisha angalau kila wimbo viewers milioni 1 tena ndani ya miezi mitatu. Sio hiyo tu bali imefinikiwa kutoa Hitsongs…
Collabo ya Diamond & Ciara ni nyimbo kali au kawaida?
Ngoma ya Ciara aliyomshirikisha Diamond Platnumz ya LOW. Anasema kila mmoja ameutendea haki wimbo lakini kulikuwa na room ya kuufanya wikbo uwe mkubwa zaidi, kwa namna aina wasanii husika kwenye wimbo. Anasema Diamond apongezwe sana kwa namnq anavyopambana kivyake kufika hapo alipo kwa juhudi zake mwenyewe. Anasema baada ya kuisikiliza ngoma ya LOW amebaini mambo…
