Tanzania kuandika historia kwa kufanikisha Taifa Stars kufuzu Kombe la Dunia 2026.Play-Off Match ndio Itaamua.

Tanzania ililazimika kutoka nyuma ili kupata pointi moja dhidi ya Congo Brazzaville, na kuweka hai matumaini ya kufuzu kwa Kombe la Dunia 2026. Hata hivyo, sare ya 1-1 ilithibitisha Morocco kufuzu moja kwa moja kutoka Kundi E, na kuiacha Tanzania katika vita ya kuwania nafasi ya pili na hatua ya mtoano. Morocco wanaongoza kundi hilo…

Read More

EP YA MBOSSO YAWEKA RECORD

EP hiyo imefanikiwa kufanya vizuri kwenye digitals platforms mbalimbali ambapo Youtube kila wimbo umefikisha viewers milioni 1 na zingine zaidi ndani ya miezi 3. Anasema hiyo ndio EP ya kwanza kwenye Kiwanda cha Bongo Fleva kufanikiwa kufikisha angalau kila wimbo viewers milioni 1 tena ndani ya miezi mitatu. Sio hiyo tu bali imefinikiwa kutoa Hitsongs…

Read More